About Me

Hujambo! Nina mwanafunzi wa Kiswahili. Napenda kusoma kuhusu kusafiri na historia na vitabu vya kufarahisha. Picha hii ni kutoka upwani nilipotembelea na familia yangu.