Tyson kayembele ni Kijana wa tanzania aliyezaliwa 1989 mkoani iringa wilaya ya mufindi kijiji cha nyololo. Tyson ni mtoto wa tatu kati ya watoto watatu wa bwana na bibi Godfrey kayembele na Joyce kalinga

Amesoma shule mbalimbali mpaka sasa ,alianza shule ya awali akiwa na miaka minne katika shule ya msingi imehe na kumaliza darasa la saba mwaka 2003 na kufanikiwa kufaulu shule ya serikali ya itengule iliyo kilometer kumi kutoka kijijini nyololo. tyson alijiunga na shukle ya secondary ya kaole iliyoko baga moyo tarehe 14 january 2004 na kauandikishwa katika mkondo A