jina la kuzaliwa ured juma kumeta amezaliwa hospital ya temeke amezaliya talehe 8/3/2001 amesoma shuleyamsingi goba dar es salaam walikuwa wanakaa na wazazi wake mbagala zakiemu wakaama wakaishi mtoni mtongan katka nyumba ya babu yake ured jina la babu yake ured upande wa mama ake jina la sadala walipokaa apo babu yake ured upande wa baba ake mzee ured alifaliki wazazi wake ured wakaludi lindi kwenye msiba wakakaa uko uko kuanza maisha mapya ured piya akikuwa anasoma madlasa twalibina goba alipo malza shule ya msingi akaenda sekondali kipindi icho uled tangiya wazaz wake kwenda lindi alikuwa analelewa na bibi yake tangiya yupo na miyaka mitano jina la bibi yake alikuwa anaitwa tatu jina malufu mama vunge ured tangiya upo mdogo alikuwa anataka awe mchezaji mpila uigizaji na usanii wa muziki kipaji cha kilijulikana mjomba ake akikuwa wanaigiza ured unaunekana wanaweza kuingiza vizuli kuliko mjomba ake nyengne alikuwa anaitwa kasimu saidi mailo ila walikuwa wanamuita k kipingi icho uled alikuwa anamiyaka saba